Matthew 26:14-16

14 aKisha mmojawapo wa wale kumi na wawili, aitwaye Yuda Iskariote, alikwenda kwa viongozi wa makuhani 15 bna kuuliza, “Mtanipa nini nikimtia Isa mikononi mwenu?” Wakamlipa vipande thelathini vya fedha. 16 cTangu wakati huo Yuda akawa anatafuta wakati uliofaa wa kumsaliti Isa.

Isa Ala Pasaka Pamoja Na Wanafunzi

(Marko 14:12-21; Luka 22:7-23; Yohana 13:21-30)

Copyright information for SwhKC